Toneva Pillar Member Joined May 30, 2013 Posts 9 Reaction score 0 Sep 6, 2018 #1 hivi kwa wanafunzi waliochaguliwa chuo zaidi ya kimoja wametumiwa code kwa ajili ya kufanya comfirmation mfano UDSM inagoma kufungua msaada pls
hivi kwa wanafunzi waliochaguliwa chuo zaidi ya kimoja wametumiwa code kwa ajili ya kufanya comfirmation mfano UDSM inagoma kufungua msaada pls
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,718 Reaction score 126,563 Sep 6, 2018 #2 Toneva Pillar said: hivi kwa wanafunzi waliochaguliwa chuo zaidi ya kimoja wametumiwa code kwa ajili ya kufanya comfirmation mfano UDSM inagoma kufungua msaada pls Click to expand... Jitahidi itafunguka, mtandao pia unachangia hilo tatizo. Hakikisha upo kwenye mtandao mzuri usio suasua
Toneva Pillar said: hivi kwa wanafunzi waliochaguliwa chuo zaidi ya kimoja wametumiwa code kwa ajili ya kufanya comfirmation mfano UDSM inagoma kufungua msaada pls Click to expand... Jitahidi itafunguka, mtandao pia unachangia hilo tatizo. Hakikisha upo kwenye mtandao mzuri usio suasua