Habar za weekend ba ndug nina modem ya airtel nlipurchase last year dom mwez uliopita ilianza mauza uza ambayo ckuelewa maana yake ni hv. Nikiwa nimekonect intanet inapotea hewani ghafla bila kuguswa ikanibidi niitoe bila kutumia remove safely . Then huingiza tena na kukönect upya .baada ya wiki haionekani kabisa naichomeka mahali husika haileti ishar yoyote .yan akil imestak celewi tatizo imeisha muda au laptop window imechoka au nin mwenye ujuzi naomba tafadhali hapa