pole sana.
Hakuna kitu kizuri katika mapenzi kama 'likizo ya mapenzi' hasa yanapokuwa yamekuchanganya.
Pumzika, ujitambue, utambue mapungufu yako, utambue unachokitaka.
Kutokea wasichana 10, afu useme wote unawapenda, siamini hilo. Unawatamani tu.
Usitake kuukimbia upweke kwa kuanzisha mahusiano mapya ambayo si ya kudumu.
kama vipi amua kuwa single tu maishani.... mbona inawezekana bana
kama vipi amua kuwa single tu maishani.... mbona inawezekana bana
Inaelekea unafanya kazi ya kutongoza tu! 10+ huna kazi zingine? Chukua mmoja kati ya waliokubali, mchagua nazi.....
Inaelekea unafanya kazi ya kutongoza tu! 10+ huna kazi zingine? Chukua mmoja kati ya waliokubali, mchagua nazi.....
imekuwa kama gundu coz nakubaliwa na nisiowapenda lakini ninaowazimia hasa kati ya 10+ niliowatongoza walinitosa,kasoro mmoja tu ambaye after a year mambo yakaharibika,
Yaani sijielewi mpaka nimesitisha kabisa kutongoza ,nateseka tu na upweke . Nifanye nini coz hata sielewi wapi nakosea coz makosa niliyofanya zamani nimerekebisha lakin sifanikiwi. Sijiamini tena hata kuanzisha maongezi na demu ninayempenda cwez tena. Kama ungeweza kuongea nami ana kwa ana ,ungejua kwa kiasi gani niko katika maumivu kiasi cha kutamani mapenzi yasingekuwepo kabisaaaaa katika hii dunia coz ndo tatizo la msingi kabisa kwangu.
i m old enough even to start a family,I m 25+He must be 16years old.
i m old enough even to start a family,I m 25+
It seemz 2b funny lkn najua me mwenyewe kiasi gani naumia kiasi ambacho nahisi labda niko tofauti na vijana wengine my own analysis shows kuwa i m just like other guys na in some areas like academics more than many of them(i hv gud grades ) ,lakin why me kwenye mapenz ndo nikose furaha kabisaaa,i mean furaha not raha coz raha ata kwa kahaba utapata naamini ktk mapenz and not just sex...
Awakukubari kwa sababu huna mapenzi ya kwli.10+??
Okey,...
do you enjoy seducing women?
I mean,hakuna kazi ngumu kwangu kama kutongoza
how do you enjoy it?
Na your sure kwamba kila unae mwambia "I love you" unakuwa una mpenda kweli?
Really?
Comedown,sio lazima uwe na mtu saivi,tuliza akili yako na examine unataka mtu
wa aina gani maishani mwako ndo uanze kumtafuta,unako elekea siko kabisaa
labda kama mwisho wa siku kuna tuzo ya "mtongozaji bora"