Nina mwezi wa pili sasa unaenda, kila nikienda haja ndogo mkojo unatoka wa njano, nikisema ninywe maji mengi, mkojo unatoka mweupe kama kawaida, siku nisipokunywa maji au nikinywa maji kidogo mkojo unatoka wa njano na maumivu kwa mbali hivi huwa nasikia, nikaenda kupima gono na damu vyote vipo safi, doctor akaniambia sina tatizo lolote, sasa nimeona niwasilishe mjengoni ili niweze kupewa mawazo kama kuna mtu anafahamu tatizo hilo au dawa yake cz nahofia isijekuwa ni protest cancer inaanza taratibu.,..mnakaribishwa kwa ushauri
kunywa maji lita 3 kwa siku...
Ndio cancer gani hiyo? Usijifanye much knower.
[h=2][/h]Nina mwezi wa pili sasa unaenda, kila nikienda haja ndogo mkojo unatoka wa njano, nikisema ninywe maji mengi, mkojo unatoka mweupe kama kawaida, siku nisipokunywa maji au nikinywa maji kidogo mkojo unatoka wa njano na maumivu kwa mbali hivi huwa nasikia, nikaenda kupima gono na damu vyote vipo safi, doctor akaniambia sina tatizo lolote, sasa nimeona niwasilishe mjengoni ili niweze kupewa mawazo kama kuna mtu anafahamu tatizo hilo au dawa yake cz nahofia isijekuwa ni protest cancer inaanza taratibu.,..mnakaribishwa kwa ushauri
BADILI TABIA hii dozi yako mbona haijakamilika? Anywe maji lita tatu kwa siku kwa muda wa siku ngapi? Siku 7, wiki mbili, mwezi au maisha yake yote?
Ndio cancer gani hiyo? Usijifanye much knower.