Msaada please

Ibusai

Member
Joined
Apr 25, 2014
Posts
40
Reaction score
4
Nimenunua laptop aina ya LENOVO B50-30. Window 7 bit 32.Lakini kinachonishangaza ni kwamba hawezi kucharge phones wala kusoma usb ya phone. Tatizo litakuwa nin maana nimejaribu kudownload na kuinstall free usb drivers lakini bado haisomi, zingine zinakataa kabisa.
 
tafuta driver pack solution mkuu itsakuwa kuna missing drivers
 
Pia ukifanya window update itasaidia mkuu
Mkuu hapo kwenye windows update pananihusu sana. nina laptop inatumia windows 8 hivi iaribuni unaniambia niactivate window. kila nikijaribu inagoma, sasa nafanyaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…