Hi guy's natumai mko poa. Eebana mimi nina garly flend kwa bahati mbaya alipata matatizo yamacho nakwenda kutibiwa dar kwa vile ndani ya ule mji hana ndugu ilibid afikie kwa nyumba yarafiki mamayake ambapo aliish kama nyumbani ila kilichonileta kwenu siyo iko nikwamba mtoto wamwenye nyumba alimtaka kimapenz garly flend wangu lakini alimkataa japo haikuishia hapo ambapo alijalibu kutaka kumbaka mara kadhaa lakini haikuwezeka sasa kinachonisikitisha zaid nikwamba hata baba mwenye nyumba naye anamtaka garl flend wangu Hadi nashidwa cjui nifanye nini nachakuckitsha zaid nikwamba hosptali yenye uwezo wakutibu tatizo alilonalo kwa hapa africa mashalik ipo moja tu nambaya zaid nikwamba huyo baba mwenye nyumba nae anafanya kaz ktk hosptali hiyo japo nikama nes tu PLEASE GUY'S NAOMBENI USHAUL NIFANYEJE.