Tugutuke JF-Expert Member Joined Apr 21, 2011 Posts 501 Reaction score 168 Apr 24, 2012 #1 Habari wana Jukwaa. Naomba kwa yeyote mwenye Address ya Jeshi la Magereza ofisi ya Segerea anipostie hapa. Please naomba sana!
Habari wana Jukwaa. Naomba kwa yeyote mwenye Address ya Jeshi la Magereza ofisi ya Segerea anipostie hapa. Please naomba sana!
nxon JF-Expert Member Joined Jul 16, 2011 Posts 1,162 Reaction score 408 Apr 24, 2012 #2 jaribu kugoogle acha uvivu
kentash Member Joined Mar 13, 2011 Posts 10 Reaction score 0 Apr 24, 2012 #3 habari,nimegoogle sana,mpaka nimechoka naomba msaada ku unlock cm yangu nikiweka laini inaonesha "NO SERVICE" simu ni Telstra F165 IMEI no.357407010188247
habari,nimegoogle sana,mpaka nimechoka naomba msaada ku unlock cm yangu nikiweka laini inaonesha "NO SERVICE" simu ni Telstra F165 IMEI no.357407010188247
L lanaforge Member Joined Apr 22, 2012 Posts 53 Reaction score 13 Apr 24, 2012 #4 Unataka kumwandikia . Lulu?
kentash Member Joined Mar 13, 2011 Posts 10 Reaction score 0 Apr 24, 2012 #5 nina wiki sasa cpatikan hewan cm yangu haisomi network,,jamani naombeni hizo kodi namba ili ni ulock Telstra F165,nami niwe hewani
nina wiki sasa cpatikan hewan cm yangu haisomi network,,jamani naombeni hizo kodi namba ili ni ulock Telstra F165,nami niwe hewani