Wadau habari za muda huu...kwa wadau wanatumia IOS devices/iPhones...accidentally nimedelete music app yangu yahani ile default music app ya apple (sijui kama ili ni jina sahii) lakini namaanisha ile inayokuja na simu...sasa nimestruggle kuitafuta kila mahali kama naweza download mpya au naweze restore iliyokuwepo lakini nimeshindwa tatua hili...please kwa anayejua namna ya kuirudisha naomba anijuze...natanguliza shukrani
Au jaribu kurestore from back up kupitia iTunes.Pre Installed App huwezi kufuta, inawezekana umeihamisha tu. Jaribu kureset layout kwa kwenda hapa Settings>General>Reset>Reset Home Screen Layout.
Pre Installed App huwezi kufuta, inawezekana umeihamisha tu. Jaribu kureset layout kwa kwenda hapa Settings>General>Reset>Reset Home Screen Layout.
Mm nipeni msaada nataka niweke GB WHATSAPP kwenye iphone 5 lkn kila nikijaribu inasema not supported
Inawezekana kwa sababu kuanzia iOS 10 unaweza kufuta apps ikiwemo Apple Music, Note, Reminder, Time n.k na kudownload tena kama Apps nyingine for free.
Nenda store download tena, andika Apple Music utaiona kisha download tena.
Mfano hii hapa.
Inawezekana kwa sababu kuanzia iOS 10 unaweza kufuta apps ikiwemo Apple Music, Note, Reminder, Time n.k na kudownload tena kama Apps nyingine for free.
Nenda store download tena, andika Apple Music utaiona kisha download tena.
Mfano hii hapa.
Mkuu imerudi aissee...Asante sana...ila sasa kila nikiilunch ina funguka for some few seconds afu inajifunga siwezi play any music...msaada wako kama kuna lolote natakiwa kufanya
Okay.
Angalia storage yako ipo ngapi kama una space, au restart phone.
App uliyodownload ni ile ile sio tatizo la kuifuta na kuirudisha.
Restat your phone ili kama kuna tatizo liwe fixed. Pia check kama unatakiwa update ya iOS. Hivi sasa ni 10.0.2
Mkuu toka nimeupgrade to IOS 10 Apple Music haifanyi kazi tena...na jana niupdate to 10.1 Apple Music bado haifanyi kazi...
Kinachotokea nikiilunch ni inakua nyeupe tu hamna kinachowork then after some few seconds inajifunga
Habari mkuu
Sijafahamu sababu ya hilo tatizo.
Pole sana. Jaribu kuunganisha na iTune kisha futa miziki yote jaribu kama unaweka songs mpya. Also check kama iTune inadetect music list yako