Namm nasubilia hapa maana inanihusu hiiHabari wakuu, na wataalamu wa teknolojia
kwanza kabisa nipende kuwashukuru kwa kunisaidia kuipata appk nzuri ya mobile tracker, nimekuja tena naomba mnisaidie ni app gani nzuri ya kurekodi simu katika simu yangu ambayo ni free of charge na haichagui calls.
Nimezijaribu call recorder apps nyingi kutoka playstore tatizo lake ni kwamba zinachagua calls, hazirekodi kila calls.
kama unaifahamu call recorder app nzuri ambayo ipo vizuri kurekodi calls naomba unitaje hapa, iwe ya playstore au ya ku google.
NATANGULIZA SHUKURANI
asante mkuummh ingia google download app ya autocall recoder
kama unaetaka kurekod hutak ajue download app ya app hider au kama umatumia samsang click hapo kitufe cha pembeni ukiacha cha back upande wa mkono wa kushoto kuna sehem wameandika hide application click kisha imark piga ok
hapo kaz kwisha ukichukua ww sim ndo unaangalia hapi hapo kuna sehem unhide unaitoa unaskiliza simple
At your own risk tho.asante mkuu
ulikuwa wapiAt your own risk tho.
Somewhere in Africa?? Vipi unanidai?ulikuwa wapi
Aaah! just miss you, only that.Somewhere in Africa?? Vipi unanidai?