nenda tu kwe login then ps plus kule watataka uweke namba za kadi weka namba 14 za mbele na 3 za nyuma hapo ni baada ya kuweka majina yako na eneo unapokaa inategemea accounta yako umefungua region gan..either marekani au south africa..hakikisha account inakiasi ambacho kinaweza nunua hiyo game unayotaka either usd 30 au usd 50