King More Senior Member Joined Feb 1, 2016 Posts 102 Reaction score 54 Oct 31, 2019 #1 Samahani wakuu PC yangu "Dell" inakuwa slow sana kudownload, natumia window 10. Shida inaweza kuwa ni nini?
Samahani wakuu PC yangu "Dell" inakuwa slow sana kudownload, natumia window 10. Shida inaweza kuwa ni nini?
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,777 Reaction score 126,724 Oct 31, 2019 #2 Chief-Mkwawa
Sphygmomanometer JF-Expert Member Joined Sep 28, 2018 Posts 274 Reaction score 233 Oct 31, 2019 #3 Yohana Masibayi said: Samahani wakuu PC yangu "Dell" inakuwa slow sana kudownload, natumia window 10. Shida inaweza kuwa ni nini? Click to expand... Unatumia modem au wifi au usb. Kuna kompyuta ya jamaa angu akitumia modem yani inakua slow sana ila akishare kwa usb kutoka sim janja au hotspot inakua faster balaa.
Yohana Masibayi said: Samahani wakuu PC yangu "Dell" inakuwa slow sana kudownload, natumia window 10. Shida inaweza kuwa ni nini? Click to expand... Unatumia modem au wifi au usb. Kuna kompyuta ya jamaa angu akitumia modem yani inakua slow sana ila akishare kwa usb kutoka sim janja au hotspot inakua faster balaa.