selestin john
Member
- Jan 20, 2012
- 67
- 8
msaada wakuu pc yangu ina hao wadudu yani kila partition wanacreat folder ndani ya folder zangu,nimejaribu kufanya window installation mara nyingi sana but hawatoki na wamefunga hadi partition za hard disk,msaada wakuu
Next time consult wataalamu utapoteza vitu vyako.Ulichofanya ni sawa na kujisikia unaumwa then unanunua dawa ya malaria na kunza dozi wakati hujapima ujue tatizo ni nini."You have been doing the right solution to the wrong problem".msaada wakuu pc yangu ina hao wadudu yani kila partition wanacreat folder ndani ya folder zangu,nimejaribu kufanya window installation mara nyingi sana but hawatoki na wamefunga hadi partition za hard disk,msaada wakuu
Soma hii link itakusaidiaUnatumiaga anti-virus gani mkuu?
Na uli re-install windows kwa cd installation mpya au ya kutoka kwenye net?
Hizo folder zinamajina gani zinazojitengeneza?
Tumia comand line mkuu kuwaondoa hao. Ni simple sana.