Charles kikoti
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 461
- 121
Nenda kweny search box kisha type msconfigHabari wanajanvi. Naombeni msaada Computer yangu nilikuwa nataka ku install window upya mwanzoni ilikuwa na window 7 nikataka ku update kwenda 8 ikagoma kabisa inadai disk C haina nafasi wakati ilikuwa na free space ya 56GB. Ilivogoma window 8 nikafikiri ku install 7 upya kwanza nayenyewe ikagoma tena. Nilichofanya nika install windo kwenye hard disk E ikakubali, ilipokubari nikaformat disk C kisha nika install window 8 kwenye disk C ikakubali nikaformat disk E pia. Sasa tatizo nikiwasha inaonesha window 7 na 8 zote zipo nikaona bora niludi window 7 bado inaonesha window 2 yaani window 7 mbili nifanyeje kufix hili tatizo kufuta moja kubaki na moja? Nitashukuru kwa elimu yenu.
Search box ya sehemu gani mkuu.Nenda kweny search box kisha type msconfig
Kisha
Go to Boot
4. Select which Windows version
you’d like to boot into directly
5. Press Set as Default
6. You can delete the earlier
version by selecting it and then
clicking Delete
7. Click Apply
8. Click OK
9. Restart your computer
Search ya window mkuuSearch box ya sehemu gani mkuu.
Mkuu ikumbukwe kuwa ambayo nina run sahizi ni window 7 kwahiyo kama ni box la search hili la mwanzoni kabisa baada ya kuwasha computer nimeandika msconfig hakuna chochote kinachotokea.Search ya window mkuu
Oke press start button na R kwa pamoja itakuja box ya search kisha type msconfig then click enter then endeleaMkuu ikumbukwe kuwa ambayo nina run sahizi ni window 7 kwahiyo kama ni box la search hili la mwanzoni kabisa baada ya kuwasha computer nimeandika msconfig hakuna chochote kinachotokea.
Mkuu nashukuru sana sana. Ila kwenye computer yangu pale kwenye search box nilivoandika msconfig result ilikuwa empty nikaingia sehem imeandikwa command prompt ndo nikaandika msconfig ndo ikaniletea hizo options ulizoandika nika delete [emoji122] [emoji120] [emoji120]Nenda kweny search box kisha type msconfig
Kisha
Go to Boot
4. Select which Windows version
you’d like to boot into directly
5. Press Set as Default
6. You can delete the earlier
version by selecting it and then
clicking Delete
7. Click Apply
8. Click OK
9. Restart your computer
Nice mkuu umejiongeza naweweMkuu nashukuru sana sana. Ila kwenye computer yangu pale kwenye search box nilivoandika msconfig result ilikuwa empty nikaingia sehem imeandikwa command prompt ndo nikaandika msconfig ndo ikaniletea hizo options ulizoandika nika delete [emoji122] [emoji120] [emoji120]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] umenifungua macho mkuu thanks.Nice mkuu umejiongeza nawewe