Window is not Genuine inamaanisha huja activate window yako, unaweza hakikisha kwa ku "right click " My Computer alafu unachagua Properties, chini kabisa itakwambia Window is not activated.
Chakufanya kuna bahadhi ya crack zipo kwa ajili hiyo, common zaidi ni moja inaitwa Wondow Loader, hii inafanya vyema kama hujatumia zaidi ya siku 30. Kama imepita siku 30 itabidi urudie mara mbili ku crack, ya kwanza utarudisha kwenye status ionekane kama bado siku 30 ya pili ina crack kabisa.