Pole sana mkuu kwa mujibu wa maelezo yako
Fata njia hizi naamini utafanikiwa
Kwanza tafuta case ya extnal itupie HDD yako kwenye case chomeka kwenye Mashine nyingine
km ikisoma je imeshow moja kwa moja au mpk uende kwenye manager
km utaiona mojakwamoja toa vitu vyako
Kisha download rufus
fomart HDD na rufus yaan fanya km unataka kutengeneza bootable USB
Katika rufys set scheme MBR BIOS or UEFI file systeam iwe NTFS acha imalize na OS uloweka kwa maana itakuwa bootable USB kamili
Kisha rudi kwenye Pc yako rudisha HDD wasaha PC bonyeza F10 go BIOS setting Kisha restore default settings save change ikirestart
rudi tena setting hakikisha UEFI na legency zipo on lkn ichague legency iwe first boit save change
kisha endelea tu km unapiga window usichomeke bootable USB yoyote
iache itabooty yenyewe wewe fata prosija za kupiga WINDOW
fanya hivyo then angalia km tatizo lako litakuwa limetatukaama lah kisha lete mrejesho