Natumia windows 10 kwenye Laptop aina ya Hp.
shida ni kwamba tokea jana computer mouse na keyboard hazifanyi kazi na ni ghafla tuu iliandika error occured na mpaka sahizi kwenye keyboard naweza kuwasha tuu pc ila siwezi kufanya kingine maana keyboard hazifanyi kazi sala mouse