G giraffe JF-Expert Member Joined Jun 6, 2010 Posts 630 Reaction score 257 Oct 29, 2023 #1 Kuna file nimelifungua ghafla desktop screen imefuta app na shortcut zote then ikaleta makorokocho Aya kama unavyoona
Kuna file nimelifungua ghafla desktop screen imefuta app na shortcut zote then ikaleta makorokocho Aya kama unavyoona
carnage21 JF-Expert Member Joined Jan 24, 2023 Posts 654 Reaction score 1,543 Oct 29, 2023 #2 Hayo makorokocho yakwap😄😄
Red black JF-Expert Member Joined Nov 29, 2019 Posts 11,924 Reaction score 36,840 Oct 29, 2023 #3 Huyo apo kwenye avatar ni wewe lamama??
MrProsecutor JF-Expert Member Joined Jun 12, 2017 Posts 280 Reaction score 275 Oct 29, 2023 #4 Kuna uwezekano ni malware lakini bila kuona ni ngumu kutoa conclusion.
G giraffe JF-Expert Member Joined Jun 6, 2010 Posts 630 Reaction score 257 Oct 29, 2023 Thread starter #5 carnage21 said: Hayo makorokocho yakwap😄😄 Click to expand...
King Rabbit JF-Expert Member Joined Mar 29, 2015 Posts 1,170 Reaction score 4,334 Oct 29, 2023 #6 Hizo pic ziko wapi sas.....???
G giraffe JF-Expert Member Joined Jun 6, 2010 Posts 630 Reaction score 257 Oct 29, 2023 Thread starter #7 MrProsecutor said: Kuna uwezekano ni malware lakini bila kuona ni ngumu kutoa conclusion. Click to expand...
MrProsecutor said: Kuna uwezekano ni malware lakini bila kuona ni ngumu kutoa conclusion. Click to expand...
G giraffe JF-Expert Member Joined Jun 6, 2010 Posts 630 Reaction score 257 Oct 29, 2023 Thread starter #8 King Rabbit said: Hizo pic ziko wapi sas.....??? Click to expand... nimeshatuma mkuu
Doji MD JF-Expert Member Joined Dec 27, 2019 Posts 2,472 Reaction score 5,322 Oct 29, 2023 #9 kama document zinasoma 0kb ujue zishaliwa mkuu, piga window nyingine
Vhagar JF-Expert Member Joined Jun 8, 2015 Posts 20,773 Reaction score 40,444 Oct 29, 2023 #10 Virusi.
G giraffe JF-Expert Member Joined Jun 6, 2010 Posts 630 Reaction score 257 Oct 29, 2023 Thread starter #11 Doji MD said: kama document zinasoma 0kb ujue zishaliwa mkuu, piga window nyingine Click to expand... mafile yangu yote yapo mazima hayajiwa
Doji MD said: kama document zinasoma 0kb ujue zishaliwa mkuu, piga window nyingine Click to expand... mafile yangu yote yapo mazima hayajiwa
G giraffe JF-Expert Member Joined Jun 6, 2010 Posts 630 Reaction score 257 Oct 29, 2023 Thread starter #12 nikwenye desktop tuu ndo sioni kitu,lakn vitu vyangu vingine vipo
Doji MD JF-Expert Member Joined Dec 27, 2019 Posts 2,472 Reaction score 5,322 Oct 29, 2023 #13 giraffe said: mafile yangu yote yapo mazima hayajiwa Click to expand... basi program ambayo inawezesha kufungua hizo file inawezekan imeliwa,..scan kwanza, restart, kisha reinstall hiyo program
giraffe said: mafile yangu yote yapo mazima hayajiwa Click to expand... basi program ambayo inawezesha kufungua hizo file inawezekan imeliwa,..scan kwanza, restart, kisha reinstall hiyo program
RealixT JF-Expert Member Joined Nov 14, 2019 Posts 1,599 Reaction score 2,868 Oct 29, 2023 #14 giraffe said: Kuna file nimelifungua ghafla desktop screen imefuta app na shortcut zote then ikaleta makorokocho Aya kama unavyoonaView attachment 2796642 Click to expand... Virus hilo file, pole
giraffe said: Kuna file nimelifungua ghafla desktop screen imefuta app na shortcut zote then ikaleta makorokocho Aya kama unavyoonaView attachment 2796642 Click to expand... Virus hilo file, pole
RealixT JF-Expert Member Joined Nov 14, 2019 Posts 1,599 Reaction score 2,868 Oct 29, 2023 #15 giraffe said: Kuna file nimelifungua ghafla desktop screen imefuta app na shortcut zote then ikaleta makorokocho Aya kama unavyoonaView attachment 2796642 Click to expand... Hyo PC yko nmeipenda, umenunua bei gn na wap
giraffe said: Kuna file nimelifungua ghafla desktop screen imefuta app na shortcut zote then ikaleta makorokocho Aya kama unavyoonaView attachment 2796642 Click to expand... Hyo PC yko nmeipenda, umenunua bei gn na wap
Johnny Impact JF-Expert Member Joined Sep 12, 2017 Posts 5,543 Reaction score 9,166 Oct 29, 2023 #16 giraffe said: mafile yangu yote yapo mazima hayajiwa Click to expand... Tafuta Kaspersky antivirus. Utapakua km trial, ni nzuri. Huwa inasaidia sana ina 150mb
giraffe said: mafile yangu yote yapo mazima hayajiwa Click to expand... Tafuta Kaspersky antivirus. Utapakua km trial, ni nzuri. Huwa inasaidia sana ina 150mb
92 jerrie JF-Expert Member Joined Feb 28, 2022 Posts 7,425 Reaction score 17,063 Oct 29, 2023 #17 Kama pc ina virus na ww upo salama kweli?
G giraffe JF-Expert Member Joined Jun 6, 2010 Posts 630 Reaction score 257 Oct 31, 2023 Thread starter #18 92 jerrie said: Kama pc ina virus na ww upo salama kweli? Click to expand... aha aahhhh
G giraffe JF-Expert Member Joined Jun 6, 2010 Posts 630 Reaction score 257 Oct 31, 2023 Thread starter #19 RealixT said: Hyo PC yko nmeipenda, umenunua bei gn na wap Click to expand... kariakoo 600k
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 32,259 Reaction score 79,857 Oct 31, 2023 #20 giraffe said: Kuna file nimelifungua ghafla desktop screen imefuta app na shortcut zote then ikaleta makorokocho Aya kama unavyoonaView attachment 2796642 Click to expand... Scanning virus 🦠
giraffe said: Kuna file nimelifungua ghafla desktop screen imefuta app na shortcut zote then ikaleta makorokocho Aya kama unavyoonaView attachment 2796642 Click to expand... Scanning virus 🦠