DEVUQUARTER-DEVUKOTA
JF-Expert Member
- Jun 20, 2012
- 352
- 117
Si uongeze salio kwa kutumia vocha ya zantel hata ya 500, kisha upige
Utaongezaje salio kama hujui namba ya hiyo modem ya CDMA?
SOLUTION HAPO NI KUWAPIGIA 100 NA KUOMBA WAKUPE NAMBA YAKE.
Mkuu mimi ninayo MODEM ya CDMA, sijajua hii inautofauti gani na yangu, lakini mimi huongeza salio la kupiga simu moja kwa moja kupitia Mobile partner Dashbody ila linapokuja suala la kununua Bundle ndipo lazima utume namba, sasa nilishauri aweke vocha ili awe na uwezo wa kupiga simu kisha ataitambua hiyo namba, au awapigie customer care watamtajia hiyo #.
Umenichekesha Shaffin Simbamwene..! Huyu jamaa huwa anamzodoa sana Paje, sasa hapa nikula jeuri yake. Kuna wadau wametoa solution, basi afatilie,atafanikiwa.Mcheck Paje maan alikuwa anatafuta hizo model kwa mbadilishano na za 3G