Endangered
JF-Expert Member
- Sep 22, 2011
- 922
- 231
Wakuu heshima mbele,
nimekuja kiuhitaji zaidi, na this time nina shida na nyimbo za bibie Judy Boucher. Kwa yeyote anayefahamu napowea kuzipata tafadhali, maana nimehangaika kuzitafuta maduka kadhaa na kwa wachuuzi bila mafanikio kama kuna mtu pia anazo nitashukuru kuwezeshwa kuzipata.
Nahitaji collection ya nyimbo zake zote tafadhali. Natanguliza shukrani, nikiamini someone somewhere as the answer to my need.
Usiku mwema, wanaolala, kazi njema kwa walioko shifti ya usiku.
Mkuu mie ni muumini wa nyimbo za huyo mwana mama na nimezipata kibao kupitia www.youtube.com pale unaweza kuzirekodi lazima uwe na Real Player kwani ukiandika title ya mwimbo uupendao Real Player itakuambia download this video then just klik then unaweza kuziweka kwa Mp3 au kawaida tu na ukaziweka kwa CD ni rahisi sana.