Za kutwa.
Nina shida moja..sim yangu note 5 ina tatzo la network. Yan line inaonekana inasoma bt functions za sim hazikubal(like message.kucall etc).nishapeleka kwa mafund na vodacom bt wamechemka
Kwenye network name kuna kipi kati ya haya... EMERGENCY CALL? au NO SERVICES?... Imei number za cmu yako zitume to 15090.. Kwenye dialer fanya hvi, *#0011# halafu ulete majibu kamili au hata images

Zima cmu kisha bonyeza volume down+home button+power then utabonyeza volume up kuingia downloading mode then 2pe picha,afu pia ingia setting then ingia about afu pia 2pe picha,