Moudy Boka
Senior Member
- Jan 14, 2012
- 103
- 32
Waumini naombeni msaada simu ya wife Samsung Note 3 imezima baada ya kudondoka ndani ya ndoo ya maji.Je hii simu ndo imeshakufa au inatengenezeka? Kama inatengenezeka niende wapi kwa hapa dar? Mwenye kujua anipe ushauri maana muda c mrefu nitatakiwa kununua nyingine.

Nenda mtaa Libya, karibu na Auto lover kuna kona inakwenda Zahir Restaurant ukikata tu hiyo kona uliza kwa Muna.
Ni muhindi huyu na ni mkweli sana yangu ilishadumbukia kwenye maji ikazima nikampelekea nikaiacha niriporudi nikaikuta imewaka kuuliza bei akaniambia amenifanyia feva tu kwa sababu yeye ameisafisha tu na dawa, kwahiyo nilipata huduma ya bure.
Nenda hapo utanikumbuka.
polee lkn uliza kwenye forum ya tech., gadgets and science utapata ufumbuzi mziri zaidi ama wapi pakuelekea
Kaka toa batter na uiweke sehemu yenye joto dogo mpaka kesho,then weka batter,kama imegoma let me know.
Kaka nilishafanya hivyo haikuwaka
Achana na wapiga ramli, mimi nimekuelekeza sehemu ya uhakika hesabu tatizo lako limekwisha.
Poa mkuu nimekupata J3 nitaenda