msaada nokia lumia 610

uroto

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2015
Posts
447
Reaction score
233
Jinsi ya kuipata instagram,coz kwenye market ya cm naletewa instagram Betta,na haisupport kwa cm yangu,msaada wadau,
 
Mimi yng nashindwa kujiunga na vifurushi vya tigo,kila nikijaribu kujiunga naambiwa session terminated,window yng ni 7.6 hvy nimeambiwa haiwezi kusapoti hizo application,je naweza kupiga chini hii window naku install window 7
 
yani hz lumia hazina ussd,hvyo haiwezekekani mambo ya m pesa au tgo pesa,ndo nachokijua hcho
 
Jaribu metrogram, instawithmassivelove au instagraph. Zitest zote uone ipi utaipenda
 
Mimi yng nashindwa kujiunga na vifurushi vya tigo,kila nikijaribu kujiunga naambiwa session terminated,window yng ni 7.6 hvy nimeambiwa haiwezi kusapoti hizo application,je naweza kupiga chini hii window naku install window 7

Jaribu hivi, call 100, hafu ikiwa inaendelea kuongea, wewe anza kupiga muhamala wako, yaani usikate, iache iendelee kuongea wewe nunua hivo vifurushi
 
yani hz lumia hazina ussd,hvyo haiwezekekani mambo ya m pesa au tgo pesa,ndo nachokijua hcho

Mmmh..hizo windows phone za mwanzo kabisa. Nadhani 6 na 7 kabla ya kupata major update. Lumia phones zote zina USSD....zooote!!
 
Mimi yng nashindwa kujiunga na vifurushi vya tigo,kila nikijaribu kujiunga naambiwa session terminated,window yng ni 7.6 hvy nimeambiwa haiwezi kusapoti hizo application,je naweza kupiga chini hii window naku install window 7

Yeah, windows phone 6 hadi 7 za mwanzo hazina USSD. nakumbuka nilikuwa na windows 7 Mozart HTC, huna ujanja, kama unapenda windows phones basi hamia latests hizi za Lumia zote zipo bien!!
 
Jinsi ya kuipata instagram,coz kwenye market ya cm naletewa instagram Betta,na haisupport kwa cm yangu,msaada wadau,

nenda store search na download 6tag. ni zaidi ya instagram kwani unafownload picha na videos moja kwa moja
 
most of wp7 devices have ussd problem and bug are not fixed in the updates na lumia 610 haiko compatible na Instagram beta
 
nenda store search na download 6tag. ni zaidi ya instagram kwani unafownload picha na videos moja kwa moja

6tag ni wp8 tu, jamaa alishindwa kuiport wp7 alisema kazi ni kubwa sana. wp7 na 8 ni os mbili tofauti sema zinafanana user interface
 
yani hz lumia hazina ussd,hvyo haiwezekekani mambo ya m pesa au tgo pesa,ndo nachokijua hcho

kweli kabisa mkuu,nilienda ktk ofisi za tigo wakaniambia hiyo window iliyoko haisupport hizo application and no way out.
 
Yeah, windows phone 6 hadi 7 za mwanzo hazina USSD. nakumbuka nilikuwa na windows 7 Mozart HTC, huna ujanja, kama unapenda windows phones basi hamia latests hizi za Lumia zote zipo bien!!

asante kwa ushauri mkuu.
 
Jaribu hivi, call 100, hafu ikiwa inaendelea kuongea, wewe anza kupiga muhamala wako, yaani usikate, iache iendelee kuongea wewe nunua hivo vifurushi

thanks alot for advise
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…