moudoudo og
Member
- Jan 30, 2015
- 24
- 0
Mkuu tumia None
Alianza na infacare tunaogopa kubadilisha labda yatamletea madhara
Hayo maziwa ni shida kidogo kwa sasa, nenda Namanga pale madukani kwa wapemba utapata, ukikosa niambie nikuelekeze sehemu nyengine