Nukta5 JF-Expert Member Joined Jun 7, 2014 Posts 1,188 Reaction score 1,306 Nov 8, 2019 #1 Habari wakuu ninaomba msaada wa kuzijua hizi gari za nissan bluebird kwenye ulaji wa mafuta na upatikanaji wa spare parts nimeona bei inaridhisha nikaona nije kwa wataalamu kwa ushauri zaidi ahsante. Engine size: 1490cc
Habari wakuu ninaomba msaada wa kuzijua hizi gari za nissan bluebird kwenye ulaji wa mafuta na upatikanaji wa spare parts nimeona bei inaridhisha nikaona nije kwa wataalamu kwa ushauri zaidi ahsante. Engine size: 1490cc
Extrovert JF-Expert Member Joined Feb 29, 2016 Posts 72,149 Reaction score 190,639 Nov 8, 2019 #2 ulaji ni kama spacio tu
Alvin A. JF-Expert Member Joined Oct 14, 2016 Posts 2,865 Reaction score 3,639 Nov 8, 2019 #3 jaribu kuulizia ushuru na kodi ni ngapi maana inafika 12M hadi unaishika Jipange usije kuiacha bandarini
jaribu kuulizia ushuru na kodi ni ngapi maana inafika 12M hadi unaishika Jipange usije kuiacha bandarini
Nukta5 JF-Expert Member Joined Jun 7, 2014 Posts 1,188 Reaction score 1,306 Nov 8, 2019 Thread starter #4 S Extrovert said: ulaji ni kama spacio tu Click to expand... Shukran sana
Nukta5 JF-Expert Member Joined Jun 7, 2014 Posts 1,188 Reaction score 1,306 Nov 8, 2019 Thread starter #5 Alvin A. said: jaribu kuulizia ushuru na kodi ni ngapi maana inafika 12M hadi unaishika Jipange usije kuiacha bandarini Click to expand... Jumla hadi kuishika inaenda 12.5m naona sio mbaya
Alvin A. said: jaribu kuulizia ushuru na kodi ni ngapi maana inafika 12M hadi unaishika Jipange usije kuiacha bandarini Click to expand... Jumla hadi kuishika inaenda 12.5m naona sio mbaya
Alvin A. JF-Expert Member Joined Oct 14, 2016 Posts 2,865 Reaction score 3,639 Nov 8, 2019 #6 Nukta5 said: Jumla hadi kuishika inaenda 12.5m naona sio mbaya Click to expand... chukua mzigo spare zipo tena Genuine
Nukta5 said: Jumla hadi kuishika inaenda 12.5m naona sio mbaya Click to expand... chukua mzigo spare zipo tena Genuine
Nukta5 JF-Expert Member Joined Jun 7, 2014 Posts 1,188 Reaction score 1,306 Nov 8, 2019 Thread starter #7 Vp Alvin A. said: chukua mzigo spare zipo tena Genuine Click to expand... Vp fuel consuption
Nukta5 JF-Expert Member Joined Jun 7, 2014 Posts 1,188 Reaction score 1,306 Nov 9, 2019 Thread starter #8 Kuna fundi mmoja nimeongea nae anasema spareparts ni ghali sana na zinasumbua kupatikana hadi Nairobi na huwa nissan zina ugonjwa wa kuchemsha
Kuna fundi mmoja nimeongea nae anasema spareparts ni ghali sana na zinasumbua kupatikana hadi Nairobi na huwa nissan zina ugonjwa wa kuchemsha
Boeing 747 JF-Expert Member Joined Mar 30, 2018 Posts 3,517 Reaction score 9,437 Nov 9, 2019 #9 Nukta5 said: Kuna fundi mmoja nimeongea nae anasema spareparts ni ghali sana na zinasumbua kupatikana hadi Nairobi na huwa nissan zina ugonjwa wa kuchemsha Click to expand... Hawa mafundi wa miembeni ukiwasikiliza utaishi kununua TOYO... Spea za nissan sisi mbona tunanunua kama nyanya sokoni..?? Nairobi labda body parts.
Nukta5 said: Kuna fundi mmoja nimeongea nae anasema spareparts ni ghali sana na zinasumbua kupatikana hadi Nairobi na huwa nissan zina ugonjwa wa kuchemsha Click to expand... Hawa mafundi wa miembeni ukiwasikiliza utaishi kununua TOYO... Spea za nissan sisi mbona tunanunua kama nyanya sokoni..?? Nairobi labda body parts.