Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,746
- 25,672
nashukuru kwa ushauri wako mkuuHabari zenu wana JF,
Umri wangu wa sasa ni miaka 19:
Baada ya kufanya mtihani wa Taifa mwaka 2014 kwa mfumo wa GPA nikapata PASS ya 0.6 yaani
Mathematics F
English D
Geography F
Civics E
Biology D
Kiswahili C
History D.
Je mnanishauri nirudi shule au niendelee kukaa nyumbani.
Kama unanishauri nirudi shule nirudie kidato cha ngapi?
Kuna msemo unasema;Habari zenu wana JF,
Umri wangu wa sasa ni miaka 19:
Baada ya kufanya mtihani wa Taifa mwaka 2014 kwa mfumo wa GPA nikapata PASS ya 0.6 yaani
Mathematics F
English D
Geography F
Civics E
Biology D
Kiswahili C
History D.
Je mnanishauri nirudi shule au niendelee kukaa nyumbani?.
Kama unanishauri nirudi shule nirudie kidato cha ngapi?
nashukuru kwa ushauri wako mkuuAisee kwa hii speed ya dr. ndalichako rudio form three, na ukasome hasa hasa acha utani na shule
certificate gani ya C mbili karne hii?ualimu cku hizi div.3 hawataki vilaza.Re seat kijana upate C mbili kisha uende certificate ya ualimu.
Kama kuna shamba kijiini kwenu na limekaa karibu na maji nenda zako katafute mtaji kwa bidii uje uendelee na mambo mengine town,watakaoendelea kusoma utakuja kuwaajili iwapo akili yako itakua ya mwendo kasi ktk kutafuta shekeliHabari zenu wana JF,