Msaada, nina uvimbe katikati ya mstari uliopita sehemu ya paja

afisa manispaa

Senior Member
May 17, 2015
188
132
Nina uvimbe katikati ya mstari uliopita sehemu ya paja dizaini kama toki lakini co toki cjui nini na unavimba kila cku naombeni msaada wa kujua dawa yake tafadhari
 
mambo serious yanayohitaji diagnosis unaenda hospital mkuu, maana hapa hatuoni wala hatuwezi kupima huo uvimbe
 
Back
Top Bottom