Msaada nina PC haisomi flash wala external

Drivers umeweka
Mziki ni kuweka hizo driver maana yabidi atafute PC nyingine azidownload na kuziburn kwenye CD then akainstall kwenye PC yake au aifanye HDD yake kuwa external akopy hizo driver alafu airudishe kwa PC yake afanye installation
 
Sio lazima.. Mbona zipo tu mtandaoni anadownload ana install dak sifurii...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda ka refresh drivers zake kule kwenye devices,...lazma ulitumia flash or external chaf/yenye virus vya kutosha

Sent using Jamii Forums mobile app
Kulingana na maelezo ya jamaa ni kwamba alichomoa HDD akachomeka kwenye PC nyingine isiyoingiliana na yake akashusha windows huko then akairudishia kwenye PC yake so hakuna cha Kurefresh wala nini dawa ni kurudi huko pembeni kudownload driver then airudishe kwako na kuiziinstall mchezo kwisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…