Msaada: Nimetekwa China

Mmh!!!! Wewe ni nani haswa?
Mara mama yako ndo sababu ya matatizo yako, wamekufungia lkn wamekuacha unatafuta msaada.!!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umewaza sana
 
Japo uzi ni wa siku nyingi ila amenishangaza sana

Mara mama yake ndio tatizo, baadae analipiwa ada na wazazi(na mama yule yule)

Kuna point ndogo sana wadau hawakuizingatia lakini ndio lengo kuu

Kwamba alidanganywa na wakala watafundishwa kizungu kakutana na kichina hivyo anaomba msaada ahamishwe na akataja nchi zinazofundisha kizungu
 
Nimevumilia kuusoma uzi mzima nikitafuta kiini cha uandishi, lakini sijaambulia lolote la maana!

Jamani, wewe siye dr. Shika kweli!

Maana uandishi huu, unaashiria u Shika!

Tokea Iringa hadi China, upo chuo lakini hausomi, kazi yako ni kukimbia na kupambana na mashetani wa Ccm wanaotaka kukuibia nyota yako!

Dah!
 
Hapa kunatego,unataja mateso makali husemi mateso gani ,Ni ngumu kueleweka.Mtu uko kifungoni huku unabadili vyuo Kama chekechea,hayo Ni mateso gani? Hapo kinachoonekana ,mleta mada Kuna jambo analificha.
 
Wewe ni mshirikina tu, acha ushirikina uishi vzr, hakuna anayekusumbua unajisumbua wewe mwenyewe, kusema kuwa kuna wanaosoma fikra zako ni uongo mkuu, hakuna mtu au kiumbe anayeweza kujua unachowaza zaidi ya Mungu.

Ingekuwa hao unaosema wanajua mawazo yako hata huu uzi usinge andika. Ukisikia athari za viroba ndiyo hizi sasa
 
Sijawahi kutumia nguvu kuelewa kama hivi,kwa mara ya kwanza nakiri kutoelewa, nahisi kuna mahali umeme unaenda mwingi.
 
Kwani wewe una nini mpaka CCM wakufuatilie hivyo?Wewe unajiita ni chadema. Mbona hiyo hiyo chadema si lolote Wala chochote cha kuisumbua CCM kiasi hicho?
Naona wewe una pepo linalokusumbua Wala usiisingizie CCM.
UNAHITAJI MAOMBI MAANA SHETANI AMEKUVAA JUMLA.
 
Kwakweli sijaelewa naona neno CCM CCM ndo limetamalaki
 
Nachojua wale watu wakikutaka watatumia mbinu rafiki ili ujikute umependa kazi yao, watakujenga katika namna ambayo utajikuta umo humo sio kwa njia ya kutesa na kunyanyasa

Na kama ni Ccm mtoa mada ana nini hasa? Mbona vijana wengi wanaanzia harakati za kipinzani wakiwa vyuoni hawanyanyaswi hivi?
 
Mleta mada una Nini Cha ziada Hadi jamaaa wakuadhibu usiendeleee na masomo!? Je una uhasama gani na hao masut unao wataja kukuadhibu?
KWANINI WEWE TU!!! ???

You have a psychiatric case here!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…