Msaada: Nimetekwa China

Wewe dish limeyumba. Chenga sana na una scratch kinyama.unaandika andika tu husemi sababu yaani hapo tu unataka uelewek na ndo umesoma vyuo zaidi ya vitatu ndo akili zako zipo hivyo? Acha kutufanya wote humu watoto.

 
mwanamapinduzi anapokuwa offended halalamiki ovyo ovyo bali huendelea na mapambano, kitendo cha kuja kulalamika huku tayari umeshaprove failure katika umapinduzi wako
 
mwanamapinduzi anapokuwa offended halalamiki ovyo ovyo bali huendelea na mapambano, kitendo cha kuja kulalamika huku tayari umeshaprove failure katika umapinduzi wako
msameheni kwani sio mwaka huu wa 2020 ni 2018
sijajua km Dish lilikaa sawa au kapelekwa Mirembe
 
Kuna work mate wangu mmoja alikuwa na tatizo linalofanana na lako
But nilichokuja kugundua ni kwamba ana tatizo la akili
 
Aisee hii code number ngumu sana kuielewa. The real question is, who are you?
 
Andika jina lako kamili ili tujiridhishe pasina shaka kwamba unaonewa/ulionewa tangu ukiwa Ruaha university
Hiyo sura ya mleta Mada nimekutafuta nayo Mirembe hospital Akiwa na nguo za wagonjwa kavaa

Mirembe Ni China? Pamebadilishwa jina lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…