salamu kwenu jamaa!!
leo nilikuwa nikimfanyia application (nacte) Mdogo wangu ajabu ile password na email yakufungulia profile hawajatuma kwenye email then nikirudia kuapply tena nakuta ile confirmation code ya M-PESA imeshatumika hivyo mpk mda huu bado sijamchagulia.. nifanye nn ndugu zangu naombeni mawazo yenu