Msaada:: Niende wapi tecno j7 na samsung S2

Kaputupu

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
1,486
Reaction score
1,179
Nina mdogo wangu,, amemaliza kidato cha sita juzi juzi tuu sasa ameenda jeshi.. Me and my sis tumeplan tumpe zawadi ya simu atakaporudi maana amefanya vizuri kwenye matokeo yake..
Tumekaa tumeshauriana ubishi umetokea hapo,, mm nashauri samsung s2,, lakini sister anadai j7.. Ni kulingani na ammount iliyopo.. Inaweza kununua simu moja kati hizo mbili..
Naomba ushauri wakuu wenye uzoefu wa haya mambo,, ni simu ipo yenye uwezo mzuri, kwenye camera,, internal storage,, ram, kukaa na charge.. Nawasilisha
 
ukitoa apple nafikiri waliobaki ni samsung, kama uwezo upo mchukulie s2 dogo
 
ukitoa apple nafikiri waliobaki ni samsung, kama uwezo upo mchukulie s2 dogo

Thanks mkuu lakini nimejaribu kuchungulia specifications za hizi simu mbili,, naona kama uwezo nao umeelekeana hivi,,
 
Anaenda chuo? Ana laptop?

Kuhusu hizo simu hapo juu hio s2 unaipata wapi? Ni mpya? Sababu s2 ni simu ya zamani toka 2011 na kulikuwa na refresh yake nafkiri ya 2012 yenye jelly bean.

S2 ni simu nzuri sana ila uipate ikiwa mpya, vitu vya ndani vya samsung kama amoled display na chip za memory vina warranty ya miaka miwili hivyo ukinunua used unakuwa kwenye risk ya kupata diaplay inayoungua pixel au memory zilizochoka nk.
 

Bajeti yenu kwa aina zote mbili sh ngapi?
 

Oh tunataka tumchukulie dukani mkuuu.. Mmhh ila umenitoa tongotongo hapo kwenye wallanty ya miaka miwili miwili.. Maana nina plan kuchukua s5 kwa mtu... Hebu naomba unielekezee vizuri kiongozi naona kama bado nipo dilema hivi.. Hapo ““ samsung na wallanty ya miaka miwili miwili
 

S5 haina neno sababu ni mpya imetoka last year.
 
Kama unapenda simu, TECNO
Kama mtu wa kujishebedua, SAMSUNG.
 
nakushauri uchukue Samsung na kwa budget yako hiyo ya 250 ungeongeza kdg ningekupa s3 mpyaaaaaa
tecno haziko poa ktk hardware
 
nakushauri uchukue Samsung na kwa budget yako hiyo ya 250 ungeongeza kdg ningekupa s3 mpyaaaaaa
tecno haziko poa ktk hardware

Najaribu kutengeneza mazingira ilivyo itamka hiyoo “mpyaaaaaaaaaaa“ teh teh teh.. Thanks mkuu,, lakini budget ilikuwa ni hiyo 250..
 

nunua s2 achana na tecno
 
nunua s2 achana na tecno

Asante kwa mawazo mkuu...
Ukiwa unaangalia ukuwa wa simu unaweza ukakimbilia tecno eeeh,,, nimecheck naona tecno j7 ina inches 5.0 while hii s2 ni 4.3 inches..
 
Mkuu dogo mwenyewe anavyopenda mauzo,, na masimu makubwa.. Teh teh teh mbona shidaaah tupu..

kama hatojali kuhusu kupata Updates za OS na kama anapenda size na mbwembwe chukua J7. RAM 1GB, Processors, Storage 16GB, Camera.. ni za kuridhisha.
 
M badala wa s2 ni A3 samsung utaipata kwa laki 480tu ila nakushaur mnunulie j7
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…