Msaada: nichagulieni Location.................

platozoom

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Posts
9,548
Reaction score
11,539
Nazungumzia hiyo Location...najua kuna wengine wamesema kabisa location zao kama Dar, A-town (Erickb52) n.k.

Na kuna wengine wameweka location za kufikirika kama: Kongosho..............Loading mbalu ..................Ntuzu Asprin...................Martenity ward (siamini pamoja na uzee wote bado yupo martenity) Bujibuji..................Nyumbani panono FirstLady................Mama mwenye nyumba Katavi..................Lyamba lya mfipa Bishanga..............Sirius (sijui iko sayari gani)

Mimi ningependa mnichagulie Location ya kufikirika ile niweke kwenye profile yangu..........Zawadi itatolewa kwa nitakayoichagua...............Kazi kwenu.
 
Last edited by a moderator:

kwetu pazuri au kaburini
 
Last edited by a moderator:
swthat,c uandike pale tulipokutania cku ya kwanza au unataka nipataje kwanza?

Kama anajeuri akatae na hii ? Na asipotoka na hii jina "maharage ya Tukuyu" halitamuhusu!
Chezeiya malabrikanti weyee!
 
mh Judgement punguza ukali wa maneno shem. . . maharage ya tukuyu tena?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…