Ondoa tatizo la kujifanya matawi ya juu wakati wewe ni wa kawaida.
wanaokujia ndio size yako wakati wewe unajidhania ni matawi ya juu unawataka wale ambao wala
hata ujipitishe mara mia wao wanafuata matawi ya juu wenzao.
Ni kazi sana Twiga kuinama kula nyasi za chini wakati kuna miti mirefu yenye majani yasiyo na vumbi.