kuna uwezekano mkubwa ni setting tu kitu ambacho hata tecno kinaweza tokea maana os zao hazitofautiani, hebu angalia kama ipo kwenye flight mode uondoe, kuona hivyo ingia network settings
Cheki mobile network settings zako na pia eneo ulilipo. Kama ipo kwa wcdma only na eneo lako hakuna huduma ya 3g or H+ basi lazima uwe na tatizo la network. Kama eneo lako lina weak 3g signals nashauri uchange network mode to automatic na kama hamna 3g kabisa basi chagua gsm only. Hapo utakuwa umesolve tatizo mkuu.