Ndio inawezekama nenda option imeandikwa "viwango vingine" ukiangalia utaona sehemu ya kuandika kiwango unachotaka kutoaNataka kujua namna ya kutoa pesa kiwango chochote.. Kwa mfano nataka kutoka laki na nusu... Lakini nikiangalia viwango pale kwenye skrini sioni laki na nusu... Je? Nawezaje kutoa kiwango cha tofauti na kilichopangwa, nimeona sehemu ya kuandika, nukajaribu lakini ikakataa, sasa labda kuna namna ya kuandika.. Nijuzeni tafadhali
Nahisi alimanisha kwenye display haioni laki na nusu ...Kama inakataa inawezekana salio lako dogo
Uwe unachagua kutumia English ni rahisi kuliko kiswahili, Lugha yetu pendwa kiswahili ni tamu kwenye kuzungumza lakini kwenye mifumo endeshi inafeli sana.Nimewahi kufanya hivyo, lakini ikakataa... Niliandika 150,000 ikakataa... Sasa sijui iandikwe vipi
Tafuta muda ambao bank husika iko wazi, ingia upate msaada kwenye kitengo cha huduma kwa wateja.Nimejaribu Kwakweli lakini sikupata msaada wowote na salio lilikuwepo
ukisha weka password achana na zile hela zinazoonekana kwenye kioo chagua 'other ammount'Nimejaribu Kwakweli lakini sikupata msaada wowote na salio lilikuwepo