Jamani habari,
Nina tatizo la kuwashwa huu mwezi wa 7 nililala na demu akaniambukiza gonorrhea nikatibiwa na dawa likapona, tatizo la kuwashwa linaendelea.
Nimetumia dawa za allergy cream lakini siponi nmepima HIV mara 4 lakini sina kaswende sina.
Naombeni msaada anayefahamu dawa au aliye wahi kuugua aniambie dawa, mficha maradhi kifo humuumbua.
View attachment 2700058