Msaada: Natokewa na vinyama kwenye ulimi

amme9

Member
Joined
Jan 30, 2022
Posts
36
Reaction score
44
Naomba msaada wenu nitumie dawa gani natokewa na vinyama kwenye ulimi

Japo kwa pic havionekan vzr

​
 
Naomba msaada wenu nitumie dawa gani natokewa na vinyama kwenye ulimi

Japo kwa pic havionekan vzr


Kama ni aina hii, ni vitu vya kawaida. Ni maumbile yanayotumika kwenye kuonja vionjo.



Kama ni tofauti au vinaleta shida yoyote, fika hospitali kwa uchunguzi zaidi.
 
Hyo n hali ya kawaida,baadae vitapotea
 
Kama ni wa kiume acha kulamba...

Kama ni wa kike acha kunyonya..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…