Ndio nini hiyo mkuu!?
pitia kwa makini hizi link mimi nilikuwa nazipitia muda sio mrefu nanimesha solve tatizo hilo kama na simu ni aina hiyohiyoHabar zenu wataalam, jamani tatizo langu ni moja blackberry yang haitaki ku-connect internet kwenye browser yenyewe ya sim nkjaribu inanipa notification kama hii "unable to connect to the internet, please try again later if problem persist please contact your service provider" halaf cha ajabu operamini ina-connect kama kawaida na nina-surf vizuri tu ila uc browser nayo inagoma
Natumia BB curve 8520,
Natanguliza shukrani zangu a dhati