mchawi-mweupe
Member
- Nov 26, 2019
- 34
- 8
mbona mgumu kuelewa ndgu nani aje in box kwa kitu kisichoeleweka unge weka picha yaani uandike tangazo lililo kamilika syo kama ulivyoandikanaoba kwa yeyote mwenye kujua tafadhali naomba anicheki inbox
Hii Toyota Stout ya mwaka gani? Mbona naona kama AC haifanyi kazi? Afu ipeleke kwanza kwa fundi wa bodi ainyooshe na kuipiga rangi ing'ae ndo utaiuza kwa hizo milioni 35 unazotakanaoba kwa yeyote mwenye kujua tafadhali naomba anicheki inbox
we ni dadalali au mhitaji bossEbu andika vizuri maelezo yako hayasomeki vizuri. Pili, weka picha ya gari lako
Hata picha hakuna , bei details za gari lenyewe, kifupi weka tangazo kamili acha ushamba
[/QUOTahahaha ndugu
ahahhahaaha nn tatzo ndugu mbona unakaza bossgari imerudiwa rangi iyo, kwenye bumper kwa chini hapo ilipata ajali au ?
we ni mhitaji au dalali bossHii Toyota Stout ya mwaka gani? Mbona naona kama AC haifanyi kazi? Afu ipeleke kwanza kwa fundi wa bodi ainyooshe na kuipiga rangi ing'ae ndo utaiuza kwa hizo milioni 35 unazotaka
kaka nahisi hujanielewa mi nmeomba msaada kwa anayejua ni wapi wanakopesha kwa kuweka bondi au mwenye kuhitaji gari nimuuzie moja kwa moja ,lakini mwenye kujua ni wapi au anahitaji huduma hiyo basi naomba ani inbox ndo tupeane details zotembona mgumu kuelewa ndgu nani aje in box kwa kitu kisichoeleweka unge weka picha yaani uandike tangazo lililo kamilika syo kama ulivyoandika
Hii itakua Stout DUME.Hii Toyota Stout ya mwaka gani? Mbona naona kama AC haifanyi kazi? Afu ipeleke kwanza kwa fundi wa bodi ainyooshe na kuipiga rangi ing'ae ndo utaiuza kwa hizo milioni 35 unazotaka
aji sana kama huna kitu si utulieKuna harufu ya utapeli hapa, wakenya muwe waangalifu mtaibiwa, hili tangazo ameliweka huku ili iwe rahisi kuwatapeli wakenya
Wewe usinijibu Mimi hivyo๐๐๐anko we mju
aji sana kama huna kitu si utulie
ahahahahaha una shida gani boss ,mbona watia nakishiWewe usinijibu Mimi hivyo๐๐๐
kaka nimesema kwa mwenye kuhitaji au mwenye kujua anielekeze wapi ,ndo tukafanye maelewano gari la nn kwa mtu asiye hitajiMbona hatuioni hiyo gari?