fasi dwasi
R I P
- Sep 23, 2018
- 105
- 112
Unaweza ukawa na shida ya ugonjwa lakini shida ya upweke ikawa kubwa zaidi kuliko ugonjwa.
Huyu kijana ni kama faraja yake alikua anaitafuta jamiiforum, huko alipokua alikosa watu wa karibu wa kushare nao anayopitia, wangekuepo wangempa faraja, wangemshauri na wangemwonyesha upendo
Pumzika kwa amani
Hpa nilipo nina mabomba y kujisaidia
Nina machine na mirija y kupumua punView attachment 1309107View attachment 1309108
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamaanisha huyu jamaa ameaga dunia?
acha utani mkuu
Ni kweli hatunae, very painful Broacha utani mkuu
Ameaga dunia ndio, kuna thread imeandikwa sasa hivi. Nimeiona nikaumia sana japo simfahamuUnamaanisha huyu jamaa ameaga dunia?
Huenda tungeweka juhudi ya kumsaidia zaidi dah [emoji24]Aisee kama utani tu vile. Tangulia sote tu njia moja.
Ndio ishatokea
Jamani nimepewa dawa za TB lakini sikupimwa chochote hata kikohozi kwasababu nilikuwa sikohoi na sijawah kukohoa ni cjapma TB, baada ya kuwa na hali mbali kwenye mfumo wa upumuaj nipo poa sasa baada ya kutumia machines na dawa.
Sasa najiuliza sina dalili za TB sikohoi kabisa nilikuwa nakohoa kidogo tu kutoka na kukosa pumzi na bila makohozi.
Sasa either nikubali kuendelea kuzitumia hata kama sina na kuna madhara yoyote ya kufanya hvyo? Au naweza kufuatilia ili nisitishe.
Sent using Jamii Forums mobile app