The Donchop
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 294
- 381
Sasa ni kwamba inaweza kutibika au ndo basi?Tatzo lipo kwa mpenzi wako
Unashauri nifanye nini?Jamaa yako Ana tatizoo
Nenda nae hospital pia achekiweSasa ni kwamba inaweza kutibika au ndo basi?
Mhh, ndo yale yanayoleta matatizo kwenye ndoa hasa hili la kubambikiwa watoto. Ni vyema huyo mwanamume ukamshauri aache pombe na ikishindikana ukae na ndugu wa muhusika ili myajenge.Jaribu mechi za nje
Habari wanajamii...
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 25. Hii ni mara yangu ya kwanza kuwa na mpenzi tuliyedumu nae kwa miaka mitatu sasa. Mpenzi wangu aliwahi kuwa na mtoto mmoja kabla hatujakutana naye. Ni mtumiaji mzuri sana wa pombe za kila aina.
Suala lililonileta hapa ni juu ya kushika ujauzito. Mimi na mwenzangu tumekubaliana kuzaa lakini ni miezi zaidi ya sita inakatika bila kushika ujauzito. Tumejaribu mara nyingi kufuata kalenda na mzunguko wangu ni wa siku 28. Lakini bado hatujafanikiwa. Nilienda hospitali napo wakaniambia niko fiti kabisa. Kila kitu kipo sawa.
Naomba msaada wanajamii juu ya hili...
Nifanyeje nishike ujauzito?
mkuu ungetoa maelezo zaidi na jinsi ya kutengeneza hiyo dawaKuna dawa inachanganywa na mafuta ya ng'ombe iyo ukitumia siku tatu tu lazima upate
Utazaa tu usijali mungu atakusaidia jaribu kwenda kuchekiwa na mwenz wakowish ingekuwa nafasi yangu nataman sana kupata mtoto any way Mimi sio mtaalam ila nenda na mwenzi wako hospital kama iki fail plz ni Pm tuone tunasaidiana vip