Hii mbona inawezekana mali ikawa bei rahisi sehemu fulani kuliko kiwandani ? Siongelei hivi vifaa sababu sijafanya research ila kuna scenarios zifuatazo vitu vinakuwa bei ndogo kuliko kwenye source:-Hata kama yapo, inawezekana ikawa zaidi ya China? Tuache uwongo na unafiki. Kuna kiwanda cha uzalishaji simu kariakoo? Toa ushauri wenye mashiko acha blaa blaa.
Hii mbona inawezekana mali ikawa bei rahisi sehemu fulani kuliko kiwandani ? Siongelei hivi vifaa sababu sijafanya research ila kuna scenarios zifuatazo vitu vinakuwa bei ndogo kuliko kwenye source:-
Moja mali za wizi
Mbili exclucivity mtu anayepewa uwakala / agent anaweza akapewa bei ndogo sana kutokana na kuwa na contract
Tatu buying power ya sehemu husika wanaweza kutengeneza vitu kulingana na watu husika mfano printers nyingi sana sana epson huwa wanatoa matoleo kwa ajili ya continent fulani tu na bei huwa inakuwa tofauti hence toleo la africa litakuwa cheaper kuliko Europe.
Nne economic of scales: mtu anayenunua mzigo mkubwa sana direct from the source atapewa bei ndogo sana kuliko wewe utakayekwenda kununua mzigo ule ule ila quantity ndogo[/QUOTE
bila shaka atakuwa kakuelewa
hili sio jukwaa la siasa jiheshimu hueshimiwe
Hii mbona inawezekana mali ikawa bei rahisi sehemu fulani kuliko kiwandani ? Siongelei hivi vifaa sababu sijafanya research ila kuna scenarios zifuatazo vitu vinakuwa bei ndogo kuliko kwenye source:-
Moja mali za wizi
Mbili exclusivity mtu anayepewa uwakala / agent anaweza akapewa bei ndogo sana kutokana na kuwa na contract
Tatu buying power ya sehemu husika wanaweza kutengeneza vitu kulingana na watu husika mfano printers nyingi sana sana epson huwa wanatoa matoleo kwa ajili ya continent fulani tu na bei huwa inakuwa tofauti hence toleo la africa litakuwa cheaper kuliko Europe.
Nne economies of scale: mtu anayenunua mzigo mkubwa sana direct from the source atapewa bei ndogo sana kuliko wewe utakayekwenda kununua mzigo ule ule ila quantity ndogo
economies of scale not economic of scale
angalia ulivyo-qoute kwenye post yako kimeandikwa nini na wewe umeweka nini ?
hili sio jukwaa la siasa jiheshimu hueshimiwe
Jamaa ni mimi mwanzo nilituma kwenye simu nikaja nika edit kwa kuweka bold; space na kurekebisha hapo, kwahio wewe ulichofanya ni kuqoute post ambayo imesharekebishwa (sababu siwezi ku - edit qoute yako) kwahio ulichofanya ni kurekebisha kitu ambacho kimesharekebishwa.., Post imekuwa edited tarehe 30 wewe umekuja na kusema imekosewa tarehe moja wakati ilisharekebishwa one day beforeHapo jamaa ame edit baada ya kumuonyesha kuwa amekosea,mwanzonia aliandika economic of scale.
inaweza ikawa hivyo lakini sasa imewezekana vipi mimi kuona kuwa umeandika economic of scale wakati ulisharekebisha huko nyuma?yote ya yote sio kesi tuendelee na mengineJamaa ni mimi mwanzo nilituma kwenye simu nikaja nika edit kwa kuweka bold; space na kurekebisha hapo, kwahio wewe ulichofanya ni kuqoute post ambayo imesharekebishwa (sababu siwezi ku - edit qoute yako) kwahio ulichofanya ni kurekebisha kitu ambacho kimesharekebishwa.., Post imekuwa edited tarehe 30 wewe umekuja na kusema imekosewa tarehe moja wakati ilisharekebishwa one day before
inaweza ikawa hivyo lakini sasa imewezekana vipi mimi kuona kuwa umeandika economic of scale wakati ulisharekebisha huko nyuma?yote ya yote sio kesi tuendelee na mengine