Msaada: Natafuta vyuo vya Afya

QT Jay

Member
Joined
Jan 25, 2017
Posts
49
Reaction score
25
Wapendwa napenda kupata msaada toka kwenu. Nahitaji chuo cha Afya kwa Dar es Salaam hata Tanga pia inapendeza.

Tena hususani nikipata na fees structure nitashukuru zaidi
 
Be specific: unahitaji kusoma kozi gani?? Sio vyuo vyote vya afya zinakozi zote
 
Wapendwa napenda kupata msaada toka kwenu. Nahitaji chuo cha Afya kwa Dar es Salaam hata Tanga pia inapendeza.

Tena hususani nikipata na fees structure nitashukuru zaidi
Kozi gani unahitaji
au pitia hapa
 
nimesoma ICT ila ni kwa shinikizo la wazee ila mimi kiukweli napenda Afya sasa na ufaulu wangu ni wamwaka uliokuwa mgumu zaidi 2012 ila nilipambana na kuibuka na 4 ya 27
ni
Biology - C

Chemistry - D

Kiswahili - D

Geography - D

English - D

History - D

Civics - D

Math - F

Physics -F

kulingana na ufaulu huo Kwa sasa naweza soma course ipi ya afya
 
F ,ya physics huwezi kusoma afya soma kozi ya community health
 
Phy-F, maths-F, chem-D. Kozi ya afya? Huwezi kupata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…