Msaada; Natafuta perfume yenye harufu nzuri

Jamani kuna mkaka niliwahi kusafiri nae mwanza 2 bukoba alikuwa ananukia ki ukweli nilidata ....natamani nimuulize jina la pafyum aliyotumia nashidwa! Natamani nimuombe no nashidwa......kama yuko humu namtafuta
Kama wewe ulikuwa unanuka kikwapa isingewezekana kabisa jamaa kukukodolea macho
 
mkuu kuna uzi wa perfume ukienda kule nadhan utapata hitaji la moyo wako kulingana na hitaji lako
 
husemi Budget yako shauri ako watu wote humu wanaishi mbele perfume utazotajiwa na uhakika hutonunua hata 1..mi nakushauri kiroho safi kanunue kikopo cha mafuta ya Skala kimeandikwa Pefumed petroleum Jelly dukan kwa mangi kinauzwa 500(jero) ila hata 400 anachukua...harufu yake ukipaka Huku mbezi beach mtu wa tandale anaskia.. Sema ndo ivyo inanukia ki beki tatu..Ila we si unataka kunukia Chomoka na hiyo...Mi mwenzako napambana na hali yangu.
 
laki 2.5 perfume tu, huu si mtaji wa mtu mwenye akiri timamu kabisa
ama huko kwenu south mambo yapo good, bongo watu tuna njaa yaan, perfume ya elf10 hapo mtu kajitahd sana!
Hatari huyu atakuwa sinyule alipanda basi ya kwenda Bukoba maana kwa bei hii alitakiwa kwenda kwa ndege.
 
.mmmmmh, Aiseee...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…