Jamani kuna mkaka niliwahi kusafiri nae mwanza 2 bukoba alikuwa ananukia ki ukweli nilidata ....natamani nimuulize jina la pafyum aliyotumia nashidwa! Natamani nimuombe no nashidwa......kama yuko humu namtafuta
laki 2.5 perfume tu, huu si mtaji wa mtu mwenye akiri timamu kabisaTafuta sauvage dior sema bei inachangamka.mi natumia La Nuit De L'Homme Yves Saint Laurent
Kwa sasa ni nzuri sna na compliments utapata nyingi sema bongo ni lak2.7 ila kama mtu anasafiri toka south afrika bei nzuri kwenye 1.9 hiv maana nliichukua kwa hela ya wasouth
Aiseeee hongera sana umenipata kumbe ndo wewe sema nami nilitakaga nikuombe namba nikaona sooo karibu pmJamani kuna mkaka niliwahi kusafiri nae mwanza 2 bukoba alikuwa ananukia ki ukweli nilidata ....natamani nimuulize jina la pafyum aliyotumia nashidwa! Natamani nimuombe no nashidwa......kama yuko humu namtafuta
Sina nauli yakuja pmAiseeee hongera sana umenipata kumbe ndo wewe sema nami nilitakaga nikuombe namba nikaona sooo karibu pm
Kumbe watumishi wa bank,plan international na wizarani si watu wa kawaida?!!wana JF, kuna ile unakutana na mtu yaaan kwa jinsi anavyonukia tu unaanza kuwazia akilini "kama huyu si mtumishi wa bank basi atakuwa plan international ama kwenye wizara flan ivi serikalini" ila baada ya udadisi wa karibu unakuja kugundua kumbe ni mtu wa kawaida tu,
Naitaji kufahamu aina ya perfume murua ambayo nikiitumia itanifanya kuwa mkaka mtanashati ninaye nukia vizuri(itapendeza kama ukisema na bei yake).
Dolce& Gabbana bei ganiKama ni mwanamke nakushauri Dolice&Gabbana blue intense .Kama mwanaume basi Blue de Chanel.
Maisha ni kupanga na kuchagua kunawatu na wafahamu wanahonga hyo hela na maisha yake ya kawaida tu,unless kama ww ndo akili sio timamulaki 2.5 perfume tu, huu si mtaji wa mtu mwenye akiri timamu kabisaama huko kwenu south mambo yapo good, bongo watu tuna njaa yaan, perfume ya elf10 hapo mtu kajitahd sana!
Original laki mbili ile ya 50mls.Dolce& Gabbana bei gani
Jamani kuna mkaka niliwahi kusafiri nae mwanza 2 bukoba alikuwa ananukia ki ukweli nilidata ....natamani nimuulize jina la pafyum aliyotumia nashidwa! Natamani nimuombe no nashidwa......kama yuko humu namtafuta
Kumbe perfumu inaogoza point ya kurahisha maogezi?
wana JF, kuna ile unakutana na mtu yaaan kwa jinsi anavyonukia tu unaanza kuwazia akilini "kama huyu si mtumishi wa bank basi atakuwa plan international ama kwenye wizara flan ivi serikalini" ila baada ya udadisi wa karibu unakuja kugundua kumbe ni mtu wa kawaida tu,
Naitaji kufahamu aina ya perfume murua ambayo nikiitumia itanifanya kuwa mkaka mtanashati ninaye nukia vizuri(itapendeza kama ukisema na bei yake).