Msaada natafuta kazi.

ume-generalise mno itakuwa shida kwa mtu mwenye nia njema kukusaidia.

Taja sifa zako hata kama huchagui kazi..elimu yako, skills, na vingine ambavyo unahisi vinaweza kukupa edge kwenye kupata kazi (lugha).

Usikate tamaa hadi kuandika.
Helw, ni wengi wenye changamoto kama yakwako, nipo Dar es salaam, nitafte nikupe idea/nikushirikishe fursa, then utafanya maamuzi mwenyewe kama utaweza tuchape kazi. call/text/whatsapp 0688462006
 
Tuwasiliane binti kama utakuwa hujapata kazi. Nitakuunganisha mahali utapatiwa huduma ya kutafutiwa kazi bila hofu kabisa. Ni mahali mie nimepatiwa huduma na ninafanya kazi. Namba yangu ni 0786187408.
 
Tatizo la watanzania wa Leo hamuwezi kusaidia bila kuomba rushwa
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…