beautybrain
Member
- Mar 8, 2016
- 38
- 35
AmeenaUtapata usijali mungu ni mwema sana
sawa mkuuNi pm tuongee kuhusu kazi
ahsante mkuunitafute pm kuna kampuni Fulani inahitaji watu,kuna jamaa yangu yupo hapo
Ahsante mkuuUmeongea ukweli mtupu endelea kumuomba Mungu utapata ila ni vizur ungeanza kwa kujiajir njoo Dm nitakupatia mtaji uanze hata kuuza juice hy itakusaidia na kukupa sababu ya kukutana na watu watakaokusaidia
Ni pm tuongee kuhusu kazi
Kuna id ya kiume nmeona anatafuta kazi sijaona mkitoa comment ya msaada au nyie mnatoa msaada kwa wadada tu?!nitafute pm kuna kampuni Fulani inahitaji watu,kuna jamaa yangu yupo hapo
Mbona wanaume wanaokuja kuomba msaada humu hamuwasaidii comment kama hizi sizioni kabisa thread za jinsia ya kiume wakiomba msaada ...hili jambo linashangaza kweli duhUmeongea ukweli mtupu endelea kumuomba Mungu utapata ila ni vizur ungeanza kwa kujiajir njoo Dm nitakupatia mtaji uanze hata kuuza juice hy itakusaidia na kukupa sababu ya kukutana na watu watakaokusaidia
Na tena hawa wadada wawe makini sana, maana wanaume wakitafuta kazi humu hakuna comment za hata kuwapa moyo. shauri yenu wadadaKuna id ya kiume nmeona anatafuta kazi sijaona mkitoa comment ya msaada au nyie mnatoa msaada kwa wadada tu?!
Mkuu kwan wew hujagundua kitu bado ..me nishagundua..positive na positive Sikh zote zinakwepana...positive na negative zinavutana...sijui kwanin wanaume tupo ivooNa tena hawa wadada wawe makini sana, maana wanaume wakitafuta kazi humu hakuna comment za hata kuwapa moyo. shauri yenu wadada
Hapana mkuu, wale wote wanaojifanya kutaka kuwasaidia wadada sio kama kweli wanataka wawasaidie. Kuna kuwa kuna agenda paleMkuu kwan wew hujagundua kitu bado ..me nishagundua..positive na positive Sikh zote zinakwepana...positive na negative zinavutana...sijui kwanin wanaume tupo ivoo
Watu wameona fursa mkuuHapana mkuu, wale wote wanaojifanya kutaka kuwasaidia wadada sio kama kweli wanataka wawasaidie. Kuna kuwa kuna agenda pale
Mm pia naitaji kazi Nisaidie pliiiznitafute pm kuna kampuni Fulani inahitaji watu,kuna jamaa yangu yupo hapo
utaweza kuwa nany!Natumai humu ndani wote ni wazima wa Afya.
Kwa mara nyingine Tena nakuja kwenye jukwaa hili kuomba nafasi yoyote ya kazi ambayo itakuwa halali.
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 24, Elimu yangu nina Bachelor of Arts in Sociology,ambayo nimehitimu mwaka Jana.
Uzoefu wa kazi.
nilipohitimu masomo yangu nilibahatika kupata kazi katikati hoteli moja hapa Dar es salaam ambayo ilikuwa chini ya usimamizi wa wachina, ambayo nilikuwa nafanya nafasi ya Receptionist, kazi ambazo niliokuwa nafanya kama zifuatazo;
-kumuandikisha mteja anapofika mfano kumpa fomu ya kujaza na kuskanii passport yake.
-kuandaa na kuchukua malipo kwa mteja.
-kushughulikia malalamiko ya mteja.
-kukamilisha taratibu za kuja na kuondoka kwa mteja.
*sababu ya kutoendelea na hii kazi ni kwamba hotel ilishindwa kuendelea.
Ukiachana na kazi ya receptionist vilevile Nina uzoefu wa kazi ya Insurance Benefit ambazo nilikuwa nafanya kazi kama Insurance Benefit officer, nilikuwa na majukumu yafuatayo;
-Kufuatilia Masai,malipo pamoja na kanuni za matibabu ya bima ya Afya kwa Wateja.
_Kuhifadhi na kudumisha rekodi za mgonjwa katika vituo mbalimbali vya Afya.
_Kuandaa report na rekodi za mgonjwa.
Vilevile katika masomo ya darasa nimejifunza Fani mbalimbali kama guidance and counseling,Social psychology,vilevile nimejifunza principle of human resource Management and administration.
Vilevile Nina uwezo wa kutumia computer application kama vile Ms.words,Excel,PowerPoint and Internet.
NB:nahitaji kazi yoyote Ile hata ya kujitolea ambayo itaweza kunisaidia nauli na kula..ili niongeze ujuzi kuliko kukaa nyumbani.
Ahsante Sana na Mungu awabariki.
naweza nikafanya kazi za customer service,compliance officer,benefit officer,Research Assistance,Social worker.na yoyote halali Mkuuutaweza kuwa nany!