Zainab Tamim
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 1,293
- 583
Natafuta fundi bati mzuri anifanyie marekebisho. Nimeezekewa bati jipya hivi karibuni na mtu aliyejifanya ni fundi lakini kaharibu.
Bati jipya kabisa, mbao mpya kabisa lakini linavuja kila sehemu na ukiliona tu unajuwa kuwa huyo alikuwa si fundi bali amenitapeli tu.
Kama kuna anaemjua fundi mzuri wa kunirekebishia, nyumba ni mpya haijesha, ipo Misugusugu, Kibaha.
Ikiwezekana hata kufumua na kuanza upya, si kitu. Mradi asinitie hasara zaidi, mabati na mbao zinazoweza kuokoka aziokoe.
Nitajaribu kuweka picha baadae.