SINA JAMBO
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 338
- 270
Kama kichwa kinavojieleza hapo juu...Mimi ni mgeni hapa Iringa na nnatafuta chumba cha kupanga, kiwe single, mwenye nyumba asiishi hapo, kiwe na umeme maji sio lazima, bei kiwe 20000...ambaye yupo tayar kunisaidia aje Private Mesage yaani PM tuyajenge
Shukrani
I AM SINA JAMBO
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli wewe team PombeVyumba vipo ila sharti LA kutoishi na mwenye nyumba linazua shaka kwamba una lengo gani?, ni nini hicho ambacho hutaki mwenye nyumba akijue?, basi nami nakupa sharti, uje na mkeo na cheti cha ndoa ndipo nikupe chumba
Kweli wewe team Pombe
mkuu sina lengo baya n by the way mi ndo mara ya kwanza nataka kupanga...n mara nyingi nimekua nikionywa kua nisipende kupanga sehem mwenye nyumba anakaa coz wanakua wanyanyasaji....kukaa na wapangaji wenzangu nipo tayariHahahaaaaa, yeye si kaweka sharti, dawa ya sharti ni masharti zaidi
mkuu maisha kupanda na kushuka huez jua nin napitia saizWewe ni radio presenter na unataka upange chumba cha elfu 20 je aise atapanga cha sh. Ngapi??
Huyu demu nimuanzaje - JamiiForums
Vipi na yule Shemeji yako mwenye sura mbovu umesha mgegeda???
Tuanzie hapo kabla hatujaanza kutafuta chumba cha kupanga
Shemeji hata kama huvutii usinichukulie poa - JamiiForums
Jamaa ameingia mitiniWakati bado ni presenter ilikuwa umepanga chumba cha sh. Ngapi
Ametelekeza uziJamaa ameingia mitini
35Wakati bado ni presenter ilikuwa umepanga chumba cha sh. Ngapi
mke wa mtu sumu bro sikuamshaWewe ni radio presenter na unataka upange chumba cha elfu 20 je aise atapanga cha sh. Ngapi??
Huyu demu nimuanzaje - JamiiForums
Vipi na yule Shemeji yako mwenye sura mbovu umesha mgegeda???
Tuanzie hapo kabla hatujaanza kutafuta chumba cha kupanga
Shemeji hata kama huvutii usinichukulie poa - JamiiForums
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] haya bana
Mkuu wenye nyumba wengi ni visirani kuishi nao ni kama upo jelaVyumba vipo ila sharti LA kutoishi na mwenye nyumba linazua shaka kwamba una lengo gani?, ni nini hicho ambacho hutaki mwenye nyumba akijue?, basi nami nakupa sharti, uje na mkeo na cheti cha ndoa ndipo nikupe chumba
tuendelee na ya chumba[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] haya bana
asante mkuuMkuu wenye nyumba wengi ni visirani kuishi nao ni kama upo jela
Mimi binafsi nilishainua mikono kama nyumba ya kupanga anaishi mwenye nyumba siwezi panga
Sent using Jamii Forums mobile app