Msaada: Nasumbuliwa na maumivu ya kiuno

Msaada: Nasumbuliwa na maumivu ya kiuno

Zaburi 23

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2017
Posts
570
Reaction score
662
Wakuu habarini za Asubuhi nna imani muwazima wa afya,

Mada kama inavyosomeka inajieleza. Nimekua nikisumbuliwa na maumiv ya kiuno ad nawaza inakuaje na nn tatzo nakumbuka kimeanza kama mwez mmoja uliopita niluchukulia simple maybe nmelala vibaya lakini naona Hili tatzo linazidi kuwepo.

Yalianza maumivu ya kawaida tu nikaenda Pharmacy kuna vidonge nikapewa pea mbili kumeza Asubuh na jioni pia nikapewa Dawa ya kuchua na nikashauriwa kufanya mazoea kutokana na kazi nnayofanya niya kukaa mda mrefu (dereva) maumivu yalipungua kama sio kukata kabisa, sasa jana maumivu nikawa nazogeza Sofa ndani kikafanya kama kushtuka maumiv yake syapatii picha kikauma balaaa nikatulia ad maumivu yakapungua.

Baadae usiku nikameza pain killer (mifupeni) na nikachue tena kwa ile dawa naona nimeamka maumivu yamepungua kidooogo (Namshukuru Mwenyezi MUNGU) japokua nikikaa maumivu nayahisi tena. sasa nilikua nahitaji Mwenye ujuzi wa dawa ambayo itakomesha haya maumivu. Yananifanya niwaze vitu vingi Age yangu ni 27. kihistoria sijawahi kuumwa kabla.

Ahsanteni...
 
Shida ni kiti cha hlo gari. Kuna wengine wanaongeza vtu kwenye kiti kama mto n.k, na ukiuweka vibaya ndo unaleta shida.
 
Shida ni kiti cha hlo gari. Kuna wengine wanaongeza vtu kwenye kiti kama mto n.k, na ukiuweka vibaya ndo unaleta shida.
Uki sahih sana..kiti cha gari kiongezee kimto..hata mim kuna kipind nilipata hyo shida na kama mrefu ndo kabisa...
 
Pole Kama ni dereva

Ushauri
1. Kagua kiti unachokalia hakitumbukii KUFANYA KITU mfano wa karai?
2.Je ukilala chali unayahisi maumivu hayo kuwa makali Zaid au yanapungua?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom